'Walitumia ata uchawi,' Pastor Ng'ang'a afichua jinsi wanasiasa wa kike na askofu walivuruga ndoa yake

Muhubiri James Maina Ng'ang'a anafahamika kwa utendakazi wake na miujiza pia uponyaji ambao anapomya watu walitekwa mateka na ibilisi,, wanawake wengi wamekuwwa wakimezea muhubiri huyo mate hata akiwa kwnye ndoa yake.

Si wanawake tu wa kawaida bali wanasiasa na askofu wakuu katika skta ya uhubiri.

Wengi wanaweza kushangaa kwanini mwanamke tu mmoja wala si wanawake wengi kwa sasa wengi hata mimi mwenyewe sina jibu kwa sasa.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya youtube Ng'ang'a alifichua jinsi wanaawake katika kanisa lake walitia bidii usiku na mchana wakienda kwa waganga ili kuona ndoa yake imeanguka na kuvunjika.

Akiwa katika mahojiano na mkewe Mercy Murugi, Ng'ang'a alifichua vile wanawake wengi walikuwa wanamtumia jube za kimapenzi.

"Kuna wakati nilirudi nyumbani na kumpata amekusanya virago vyake na kuenda, simu yangu ilikuwa inatuvuruga sana katka ndoa yetu

Nakumbuka tukiwa Naivasha kuna ujumbe ambao uliingia kwenye simu yangu uliosoma,´Thank you for the good night we had yesterday." Alizungumza Ng'ang'a.

Ilimbidi amwambie mkewe ukweli na kumueleza kuwa hayo ni maneno ya uongo ambayo yanaweza kufanya ndoa yao ivunjike na hiyo ndio furaha ya wengi.

Wawili hao walibadili namba za simu ili kumalizana na majaribu hayo, Ng'ang'a alifikiri endapo ata oa tena atapata kipenzi cha roho yaake hii ni baada ya kumpoteza mkewe wa kwanza.

"I was not a saint because I was married before meeting her. I expected her to come and fill the shoes of my late wife. Every time she ran away with my BMW, I followed her to their home with the police and repossessed it. However, I prayed over it and she came back and settled." Alizungumza Ng'ang'a.

Mkewe akizungmzia swala hilo hakuwa na la kufanya wala kuchagua atakaye muamini;

"Simu yake ilikuwa yafanya niumwe na kichwa kila wakati, jilikuwa nataka kujua ni nani alikuwa anampigia simu lakini ni kaacha kuchunguza

Hivyo ndivyo nilimshinda shetani." Alisema Mercy.

Yote tisa kumi ni

"There were thousands of women who wanted me to marry them. Others were politicians, while some were bishops. A woman even offered me KSh 3 million to marry her. They tried duping me by posing the money as offerings."