Wanamitandao wafurahishwa na ujumbe wa Cate Actress kwa Njuguna

FtBk9kpTURBXy80YmY1MTI4NzcxMzg2NWM4ZTQ4MTI3MzBmNTQyODkzZC5qcGeSlQLNAxQAwsOVAgDNAvjCw4GhMAE
FtBk9kpTURBXy80YmY1MTI4NzcxMzg2NWM4ZTQ4MTI3MzBmNTQyODkzZC5qcGeSlQLNAxQAwsOVAgDNAvjCw4GhMAE
Muigizaji Cate Actress ameandika ujumbe wa kumshukuru mcheshi Njuguna kwenye mitandao ya kijamii ujumbe ambao uliibua hisia tofauti kwenye mitandao.

Kwenye ujumbe wake alisema kuwa Njugush alimshika mkono kwenye tasnia hii ya usanii na anaishi vyema kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili yake.

Ujumbe wake ulipendwa na mashabiki wengi, na kutoa hisia na maoni yao, huu hapa ujumbe wake Cate.

"Ujumbe wa shukrani kwa @BlessedNjugush, maisha mabayo ninaishi kwenye mitandao ya kijamii ni kwa ajili yako ulinishika mkono,ulinionyesha kamba 

Shukrani nyingi ndugu yangu mdogo nimeshikanisha mikono."Ujumbe wake Cate Ulisoma.

Baada ya Njugush kuona ujumbe wake Cate alijibu hivi,

"Asante sana wamapupuu lakini....si 2020 ituangalie jinsi unavyoniangalia."

Hizi hapa hisia za wanamitandao;

Celestine Gachuhi:@kate_Actress_ and @BlessedNjugush I look upon you nifike pale umefikia kwa acting industry

K Wash @Kevo_vLOGGER :@kate_Actress_ and @BlessedNjugush Njugush wa madame noe I see why they love youWinking face Jokes aside no man is an island we all need guidance or a helping hand

Mevin @0mevin :@kate_Actress_ and @BlessedNjugush Njugush is a brainee angebaki tu househelps but dude made himslef bigger and pretty sure hes one of the best Youtubers in Kenya

Daddy Ryan @SammyMwangi45 :@kate_Actress_ and @BlessedNjugush Mimi utanishika mkono lini niomoke? Just one day tuu... I host you and Wakavinya in our furnished 4 br villa and that will be it... just for Free. Imagine !!!