Wanawake 5 mashuhuri ambao ni warembo

1.Zari Hassan

Zari Hassan ni mfanyabiashara na mwanamke mashuhuri nchini Uganda.

Ana watato watano, wawili ambao alipata akiwa na uhusiano na Diamond Platinumz.

Zari alifunga ndoa siju ya jana katika sherehe ya siri kwa mpenzi wake wa siri ambaye anamuita 'kingbae.'

Zari ana miaka 38.

2.Vera Sidika

Vera Sidika ni mfanyabiashara na mwanamke mashuhuri nchini Kenya.

Vera anajulikana pia kuwa msanii kwani amezitoa nyimbo mbili ikiwemo 'Mimi'.

Juzi, Vera Sidika aliiweka picha yake akiwa na mpenzi wake mpya anayejulikana kama Jimmy Chansa.

Vera ana miaka 29.

Vera na mpenziwe

3.Mayonde

Mayonde ni mwimbaji anayefahamika, bali na hayo ni mrembo.

Mayonde alianza kuiimba akiwa msichana mchanga katika kwaya ya watoto.

Hapo awali Mayonde alifafanua kuwa alikuwa ameoleka na kuwa ameoleka kwa mtu mashuhuri.

4.Kate Actress

Kate anayejulikana kama Catherine Kamau, ni mwigizaji anayejulikana sana hapa Kenya.

Kate ameolewa na Phillip Karanja na ana mtoto mmoja.

Ana miaka 43.

5. Huddah Monroe 

Alhuda Njoroge, anayejulikana kama Huddah, ni mwanamke mashuhuri hapa Kenya.

Huddah ana miaka 27.

Soma mengi