Wanawake Waislamu katika fani ya Uanahabari

Dini ya Kiislamu imesaulika katika sekta tofauti nchini lakini hali hii haijaathiri kivyovyote vile baadhi ya wanawake katika dini hiyo kudhiirisha ubabe wao katika tasnia ya uwanahabari.

Hawa ndio baadhi ya wanawake ambao wamefahamika sana;

1.Mwana hamisi

Ni mwanahabari ambaye kando na urembo wake wa kupigiwa mfano,mavazi yake hawavutia wengi haswa kizazi cha sasa.

Ni mwanahabari wa runinga ya Citizen.

2.Lulu Hassan

Anafahamika sana kwa sauti yake ya usomaji taarifa na utunzi wa filamu mbalimbali na wafwasi wa filamu za kiswahili Afrika mashariki.

Kufunga kwake vazi la Hijab huwavutia wengi wanaotamania mavazi ya dini ya kiislamu.

3.Jamila Mohamed

Alifahamika pindi tu alipoanza kusoma taarifa katika runinga moja ya humu nchini na wengi wakamfananisha na mavazi yake yanawiana na Lulu Hassan.

Kufunga kwake vazi la Hijab pia huvutia wengi wanaomezea mate nguo za aina hiyio.

4. Amina Abdi Rabar

Mmmmmh!!! ni mwanamke ambaye ana umri wa chini katika sanaa ya utangazaji, ametuzwa tuzo tofauti kwa ajili ya ubora wake katika utangazaji.

5.Amina Mohammed

Waziri wa michezo huwa vutia wengi kwa urembo wake na pia kitambaa chake anachofunga shingoni.

Amekuwa kipaumbele katika habari kwa utendakazi wake mwema.