TOME

Wapenzi wa msanii Tome mpoo?,Basi ametoa wimbo

NA NICKSON TOSI

Msanii chipukizi wa miziki ya ‘Afro-pop ‘Tome amerudi tena na mziki mpya uliowafurahisha wafwasi wengi katika mitandao ya kijamii.

Msanii huyo anayetokea Nigeria amewashiriksha Burna Boy na Mr Eazi  katika wimbo huo wake mpya wa ‘THE MONEY’na umefanya vizuri katika mitandao ya kijamii baada ya kuzinduliwa.

Akiwa chini ya Usimamizi wa Kiza Music,kampuni ilio na matawi yake Nigeria ,Kenya,UAE,na Canada ,inapania kutumia fursa hiyo kumfanyia mauzo Tome.

Fast-rising songstress Tõme drops much anticipated hit Money and it’s hot

Mwaka wote  2019, TÖME alibahatika kwa kupat nafasi ya kujumuika na msanii wa miziki aina ya ‘Afro baets’ Wizkid katika safari yake ya kuimba Canada na lejendari Mr Eazi katika safari  zao za kuimba Uropa.

Wote walipata fursa ya kuwatumbuiza wafwasi wao katika uwanja wa Wembley SSE na pia kuimba katika hafla ya ‘Afrofest’2019.

Fast-rising songstress Tõme drops much anticipated hit Money and it’s hot

Tome alifanya safari yake ya muziki Texas ,America kaskazini,Uropa,na Afrika mwaka 2019 .

Photo Credits: radio jambo

Read More: radio jambo

Comments

comments