Watoto 7! Kidumu atetea familia yake kubwa

Watu wengi wameshangazwa  na tangazo kwamba msanii  Kidum ni baba  ya mtoto wake 7 . Mwanamuziki huyo kutoka Burundi   ambaye jina halisi ni  Nimbona Jean-Pierre – aliamua kutumia mitandao ya kijamii kutangaza habari njema kwa mashabiki wake.

“FROM KAJIADO COUNTY AFTER MY SHOW YESTERDAY FRIDAY STRAIGHT TO MATERNITY. A BOUNCING BABY BOY KIDUM JUNIOR! THIS IS THE SECOND BABY BORN WHILE I AM AWAY PERFORMING BOTH BORN ON FRIDAY. HIS NICKNAME IS KAJIADO,” Kidum aliandika;

Kidum amesema mtoto wake huyo ni wa pili wa mke wake wa sasa. Amefichua pia kwamba ana watoto wengine katika  mahusiano yake ya hapo awali.

“SOMETIMES I LAUGH WHEN I READ NEWS ABOUT ME! THIS KIDUM JUNIOR AKA KAJIADO IS NOT HER FIRSTBORN JAMANI! I HAVE A DAUGHTER WITH HER CALLED NICOLE. IT IS TRUE I HAVE NOW SEVEN CHILDREN IN TOTAL BUT TWO WITH THIS NOW MY WIFE. HAHAHAHAHA NA BADO!!!!!”

Kidum  pia  amesema anazingatia kujiondoa  kutoka fani ya muziki kwa sababu ilimfanya wakati mwingi kukosa hafla za familia .

“I AM THINKING OF CALLING IT A QUITS IN MUSIC. MY WIFE AT THAT HOUR WAS IN MATERNITY [HOSPITAL] AND I WAS FAR AWAY  DOING A LIVE PERFORMANCE IN KAJIADO.”