Watu 2 zaidi waaga dunia kwa ajili ya COVID 19 matukio yote ya leo kuhusu Coronavirus kwa ufupi

  • Watu 2 zaidi wameaga dunia  kwa ajili ya virusi vya Corona na kufikisha 3 idadi ya walioga dunia hadi kufikia sasa
  • Idadi ya watu walio na virusi vya Corona nchini sasa ni 110 baada ya watu 29 zaidi kupatikana na virusi hivyo .
  • Naibu Gavana wa Kilifi Gideon Saburi ni miongoni mwa waliopona virusi vya Corona
  • Watu 4 wamepona virusi vya Corona nchini hadi kufikia sasa
  • Serikali yawashauri wakenya hasa kutoka maeneo ya Miji kutosafiri kwenda  maeneo ya mashambani
  • Waziri wa Afya Mutahi Kagwe  awashauri Wakenya kujitayarisha kwa ongezeko la idadi ya walioambukizwa virusi vya Corona
  • Madereva wa Tuk tuk,Matatu ,abiria  washauriwa kuvalia  Barakoa(Face masks)

Waziri wa Afya Mutahi Kagwe