Kambua-muzik-696x418

Watu hutoka mbali! Picha hii ya zamani ya Kambua yafurahisha wengi

Maisha ya Kambua yamekuwa yakiwafurahisha na kuwapa wengi motisha kwa muda mrefu sana.
Kambua ni binti mrembo, mwenye nidhamu na anayependa kufaulu maishani.
Kambua
Kama vile wanawake wengi nchini Kenya, binti huyu ni mwanamziki wa nyimbo za injili, yeye huandika nyimbo, presenta kwenye Televisheni na pia ni bibi na mama wa mtoto mmoja.
Tazama picha ya Kambua akiwa mdogo kidogo.
kambua 2 Kambua alizaliwa na kulelewa mjini Nairobi na amezuru nchi mbalimbali kama Canada. Kambua ni mwanamke wa kutajika na wa kuwafanya wengi watamani kuwa kama yeye kwani yeye ni kioo cha jamii na ana tabia nyingi nzuri zinazowapendeza wengi.

Nakuamini!! Wanyama amtakia Eliud Kipchoge heri njema

Vilevile, kidosho huyu alipopoteza baba yake, alijawa na huzuni sana lakini kitendo hiki hakikumfanya akate tamaa maishani.

Kwa kweli watu hutoka mbali!
Tazama picha yake Kambua akiwa mchanga .
Kambua 1

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments