Watu mashuhuri ambao wanaishi pamoja lakini bado hawajaoana

Kuna watu mashuhuri ambao ni mfano wa kuigwa kwa sababu ya mahusiano yao mazuri ya kimapenzi.

Kulingana na utamaduni na dini, wapenzi wanapaswa kuoana ili waanze kuishi pamoja lakini wapenzi hawa wameamua kufanya maisha yawe rahisi kwa kukaa pamoja.

  1. Khaligraph Jones and Georgina Muteti

Wawili hawa walibarikiwa na mtoto msichana hivi karibuni.

Alitoa tu wimbo uitwao, 'Leave me alone' kuwaambia wapinzani wake waishi maisha yao na waachane na yeye.

2. Chipukeezy and Kibanja

Wao wawili waliutangaza uhusiano wao mwaka huu na baada ya muda walikuwa wanazivaa pete.

Pete hizo zilionekana kama pete za harusi.

Tulimuliza Chipukeezy kana kwamba wameoa akasema bado lakini wamehamia nyumba iliyo Kileleshwa.

3. Henry Desagu and Jackie Mbugua

Wawili hawa hurekodi filamu zao nyumbani kwao.

Wakati mmoja Desagu alikuwa akijiandaa kwa ajili ya mkutano, alichapisha kwa vyombo vya habari vya kijamii na kusema kuwa yeye hufurahia kuvishwa nguo na mpenziwe na hilo lilikuwa hakikisho kuwa wanaishi pamoja.

4. Burna Boy na Stefflon Don

Siku ya wapendanao, alileta bendi sebuleni na kupamba chumba hicho na maua mekundu.

5. Harmonize na Sarah

Uhusiano wao una uzito sana mpaka aliandika (tatooed) jina lake Sarah.

Alihamia Tanzania ili kuwa karibu na Hamornize. Inaripotiwa kuwa wanaishi pamoja.

6. Diamond na Tanasha

Hii ni dhahiri na uja uzito wake. Wakati wowote Tanasha akienda Tanzania, yeye hupitia nyumbani kwake Diamond Madale.

7. Mr Seed na Nimo Gachuiri

Walipata mtoto baada ya matukio yote ambayo yamekuwa yakifanyika katika familia yao.

Nimo humtembelea Mr Seed mara kwa mara nyumbani kwake Mirema lakini anaishi na wazazi wake.

8. Navy Kenzo (Nahreel na Aika)

Wamebarikiwa na mtoto wa kiume kama mzaliwa wao wa pili. Wamekuwa pamoja kwa muda mrefu lakini bado hawajaoana.

10. Bien and Chiki

Wapenzi hawa wamekuwa wakiishi pamoja kwa muda mrefu.

Kulingana na sheria ya Kenya, kuishi na mpenzi wako zaidi ya miezi sita inakubalika kuwa nyinyi ni mume na mke.