Wazo La Siku Naye Yusuf Juma, 3rd January 2017

Mwaka huu siandiki quotes..nyinyi ndio mtaniambia quotes za kuandika kila siku.inbox me your best quotes.ziwe na mafunzo alafu tuziweke hapa kila siku mwaka mzima wa 2017 ! Pia kuna signs this will be a serious year. Tuangushe hiyo hofu kwa kushare the best funny experiences na jokes fresh.watu wengi wanataka kupewa tabasamu...lets make it happen.