Wazo La Siku Naye Yusuf Juma, Januari 4, 2017

Maazimio yako ya mwaka wa 2017 ni yepi? Utafiti wa hivi punde wa IPSOS unaonyesha kwamba wakenya asilimia zifuatazo wanataka.

17%-Save more money

16%-kupata kazi

14%kujenga nyumba

9%-kuanza biashara

3%-kuoa /kuolewa au kuongeza mke mwingine

1%-kununua gari

1%kupata mtoto

Je unapanga kuafikia lolote kati ya haya?