Wazo La Siku Naye Yusuf Juma, Januari 6 2017

Katika pilka pilka zako, je umekutana na mgombeaje wa kiti chochote cha uchaguzi unayefikiria anaweza kuleta mageuzi? anafaa kuwa mkweli,awe kijana(youth) na awe na maono ..Inbox..na wale vijana ambao mnajiamni na mnafikiri mnaweza kugombea,wakati umefika !