Wedding Bells? Nandy Ampeleka ukweni Billnass

Miezi mitatu baada ya Billnass kumpa pete ya uchumba mpenzi wake Nandy ,yaonekana wawili hao wamechukua hatua za haraka kujitosa katika safari ya ndoa iwapo  safari ya Nandy kumpeleka ukweni Billnas  ni jambo la kutafsiriwa kwa njia hiyo .

Nandy alimpeleka mpenzi wake mkoani Kilimanjaro kuwakutanisha na  baba ,babu na bib yake . Katika picha walizoweka kwenye instagram wawili hao walionekana kufurahishwa sana na hatua hiyo mpya katika mahusiano yao .

Billnass amesema amefurahia sana mapokezi ya  wapare akisema hakutaka kuondoka .

https://www.instagram.com/p/CCYBlQNgfvB/