Weka mbali mondi sasa! Babake aonyesha mngurumo wa simba mkubwa

Babake mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz ameonyesha mngurumo wa simba mkubwa unavyosatahili kuwa.

Pindi atoe kibao hatari kinachokwenda kama Mwewe akichana kwa ufasaha na kwa kijanja, babake Mondi ameweza kuwa na wafuasi wengi katika mitandao ya kijamii. Vyombo vya habari nchini Tanzania zimeonekana kuvutiwa na ustaa huu mpya na kumwangazia katika mahojiano tele.

Soma hadithi nyingine:

Katika ukurasa wake maridhawa wa insta anaofuatwa na mashabiki elfu ishirini na sita, Mzee Abdul anaonekana yupo freshi ametulia na mwanahabari na kuweza kutoa mngurumo wa simba.

Tazama hapa:

https://www.instagram.com/p/By4Rw-9AaZJ/

Babake Diamond Platnumz kweli amekua na kuwa staa. Tazama nyimbo yake hapa jinsi ilivyotazamwa na watu wengi zaidi.

Soma hadithi hii:

Kulikuwepo na madai kuwa kuna baadhi ya redio na blogu nchini humo ambazo zinakuza uadui kati ya Mzee Abdul na mwanawe ambaye ni supastaa mkubwa Afrika nzima.

Soma hadithi nyingine: