Karibu dunia huru: Dennis Itumbi amwambia Jowie

"Karibu dunia huru" huu ni ujumbe wa Denis Itumbi kwa Jowie (Joseph Irungu) baada ya kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni mbili.

Jowie amekuwa kuzuizini tangu alipokamatwa kuhusiana na mauaji ya mfanyibiashara Monicah Kimani,mwaka jana.

Katika dhaamana yake amepewa masharti ambayo anapaswa kufuata akiwa huru.

Kupitia mtandao wa kijamii Dennis Itumbi alimwandikia Jowie ujumbe wa kumkaribisha nchini akiwa huru.

"Welcome to the free world Jowie. Being granted bail was long overdue. We will continue praying that justice is done for all, the late Monica, Jacque and yourself." Aliandika Itumbi.

The Poacherz
 Wananchi walitoa maoni mbali mbali kuhuiana na uamuzi huo wa mahakama.
wacha baba aitwe baba..that is after baba chant yesterday Jowie Jowie ..Jowi has now been released
Brian Khaniri
Good news. It was unfair for Jowie to jailed yet they had no evidence against him while Babu Owino who committed a crime in front of cameras is Free.
hired goon
I've always maintained that my heart cries for Monica Kimani.. I thought I was the only one.. Thanks dear Kumbe tuko wawili ..Rip Monica
BRAVIN@ItsBravin
Hata najua Hujaskia Vibaya. Jowie ameachiliwa on the Eve of Valentine. Ndugu zile poem utakariria nani msee. Chest pains.