Wema Sepetu azirai na kuanguka ghafla, akimbizwa hospitali

hqdefault
hqdefault
Inaaminika kwamba mwanamitindo na nyota wa filamu kutoka Tanzania alishikwa na kisunzi na kuanguka ghafla baada ya kushtukizwa katika sikukuu ya kuzaliwa.

Vyanzo kutoka nchini Tanzania vinahoji kuwa staa huyu wa kike alianguka na kupoteza fahamu katika nyumba ya dadake iliyopo Mbezi Beach.

Soma hadithi nyingine;

Ndugu na marafiki walikuwa wamekusanyika ili kumtakia heri na fanaka katika sikukuu ya kuzaliwa kwake.

Siku kuu ya kuzaliwa ya Wema Sepeta inajiri siku moja baada ya Mondi kuandaa sherehe kubwa ya kusherehekea kuzaliwa kwake.

Mastaa wakubwa Tanzania wakiwemo Rayvanny, Mbosso na Lavalava miongoni mwa wengine walitoa maneno yao ya moyoni na kumpongeza Chibu Dangote.

https://www.instagram.com/p/B3HsveJJFa3/

Mtoto huyu ambaye ni wa 4 wa Naseeb bado hajapewa jina.

Ikumbukwe kuwa Mondi ana watoto nje ya uhusiano na Tanasha.

Hali hii ya Wema kuanguka iliwashangaza waliohudhuria huku familia na marafiki wakimsaidia huduma ya kwanza.

https://www.instagram.com/p/B3AKgzvHYXt/

Soma hadithi nyingine;

Baadaye, nyota huyu alikimbizwa hospitali na kupatikana na presha ya chini sana ya damu kwenye mishipa.

"Wema alikuwa na furaha sana, Hangeketi, alikuwa tu anaongea na marafiki zake. Ni katika harakati hizi alipozimia na na kuanguka. Amekimbizwa hospitali na kupata usaidizi.'

a