Wewe ni mpango wa kando? Basi hakikisha unazingatia masharti haya+Podi ya Yusuf Juma

chic
chic
Sasa imekuwa kama jambo la kawaida kwa wanaume kuwa na mwanamke au wanawake wa pembeni kando na mke rasmi anayefahamika na jamii .Mtindo wa kuwa na mpango wa kando umejaribu kupigwa vita kwa msingi wa maadili lakini yaonekana haukomi hivi karibuni .

Itabidi basi maisha yaendelee chini ya hali hii lakini sasa masharti yanafaa kufutwa ili kuhakikisha kwamba Amani inapatikana katika familia chini ya mazingira haya mapya .

Kuna wasiotaka kuolewa au ndoa na wao wameridhika na kuitwa wanawake wa pembeni au mpango wa kando . Sasa iwapo upo katika kundi hilo Podi hii inakupa mwongozo wa mambo unayofaa kufanya ama kupeuka iwapo unajitambua kama mpango wa kando