zari.na.mr.P

‘Wewe ni wa maana nakupenda milele!’ Zari amfungukia Peter wa Psquare

Mwanamitindo wa Uganda na aliyekuwa mkewe msanii Diamond Pltanumz, Zari ni rafiki wa chanda na pete wa msanii Peter Okoye almaarufu Mr P.

Mr. P ni mmoja wa kikundi cha Nigeria kilichotambulika kama Psquare.

Mama huyo wa watoto tano alimuommba Peter ajirekodi akimtumia rafiki yake wa karibu ujumbe wa heri njema akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Naye hakuchelewa kuchapisha kanda hiyo kwa mitandao yake ya kijamii huku akimnyunyuzia msanii huyo na upendo mkuu, huku akimshukuru kwa kumfurahisha rafikiye.

“Zari cheated on me with two men” Diamond claims

Alisema,

I HOPE I MADE YOUR DAY SHEILA, IT’S THE LEAST I COULD DO. CANT BUY YOU GIFTS THIS SEASON BECAUSE I NEED TO SPEND ON MY FAMILY HERE IN SA AND BACK HOME +256.
THANK YOU @PETERPSQUARE YOU STILL MY MVP OF ALL TIMES
LOVE YOU ALWAYS🌺

Zari

Aliongeza,

THANK YOU SO MUCH FOR WISHING MY FRIEND A HAPPY BIRTHDAY. I’M GLAD I COULD MAKE HER DAY. YOU STILL MY MVP.

Nimemsaheme Diamond asema Zari Hassan

Zari

Hili laja wiki kadhaa tu baada ya Diamond alipomshutumu Zari kwa kuenda nje ya ndoa na msanii huyo Peter wa Psquare. Hata hivyo, mwanadada huyo alikana sana akidai alimjua Peter kabla hata amjue Diamond.

Alisema,

I’VE NEVER DATED PETER NOR MY PERSONAL TRAINER, WHILE I WAS STILL WITH DIAMOND. I NEVER PLAYED HIM WITH ANYONE AS WELL. I WOULD SELL MY SOUL TO STAND WITH THE TRUTH,’ SHE SAID IN A PREVIOUS INTERVIEW.

Hata hivyo, aliongeza akizungumzia uhusiano wake na Peter,

I KNEW HIM BEFORE DIAMOND. MY MANAGER IS A MUSIC PROMOTER AND I MET HIM AND HIS BROTHER PAUL (PSQUARE) WAY BACK IN UGANDA THROUGH HIM. THAT WAS THE TIME I TOOK PHOTOS WITH HIM.

I HAD MET PETER IN TANZANIA WAY BACK AND AGAIN THROUGH MY MANAGER. I HAVE NEVER SLEPT WITH HIM. HOW COMES ALL OF A SUDDEN ZARI IS CHEATING ON ME?’

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments