Wololo! kizazaa baada ya Wapenzi kukwama Funyula

wapenzi
wapenzi

Biashara yasimamishwa kwa muda wa karibu saa sita baada ya wapenzi wawili kukwama chumbani.

kizaaza kilizuka katika mji wa Funyula kaunti ya Busia baada ya wapenzi wawili waliokuwa wakishiriki mapenzi kukwama pamoja.

Tendo hili lilivutia watu wengi sana kutoka kwenye chumba hicho mpaka sokoni na adinasi wakajaa zaidi ili kupata picha za wapenzi hao.

Ijapokuwa, mlinda lango alikuwa amewafungia wapenzi hao chumbani wasije wakaaibika, tarifa za kisa hiki kiliwafikia wengi mjini.

Zaidi ya hayo, mwanamke mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema kwamba kisa hiki kilikuwa ni cha aibu sana hasaa kwa wana ndoa ambao wanafaa waheshimu ndoa zao.

“This is indeed a very shameful incident especially among married couples who should respect their marriage,"

Vilevile, mwanamke huyu alisema kuwa, mlinda lango angwaacha wapenzi hawa watoke nje ndiposa, binti huyu aliyeshikwa na mume wake  apewe funzo kali kwani amewaaibisha wanawake na kuwafanya wakae kama wanawake ambao sio wa kweli kwa waume wao.

"The watchman should have let them come out of the lodging we know who they are because the woman has ashamed us and by portraying us as unfaithful to our men. The watchman should have allowed us to teach her a lesson."