Your money means nothing to DJ Evolve,'KOT wamwambia Babu

Mwezi uliopita mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino alimpiga risasi DJ Evolve baada ya mvutano kati ya hao wawili, Dj Evolve Alilazwa hospitali na kuwa katika hali mahututi.

Mbunge huyo ambaye anakabiliwa na kesi ya kujaribu kumuua DJ Evolve aliachiliwa na mahakama kwa dhamana ya shilingi milioni 10, pesa ambazo alitakiwa kulipa kwa awamu.

Kupitia kwa mtandao wa kijamii Babu  alipost video ambayo alisema amechagua kujisamehe .

"IT’S A MATTER BETWEEN ME AND GOD AND I CHOSE TO FORGIVE MYSELF." Babu Alisema.

https://www.instagram.com/p/B9VtxkWncF6/

Usemi wa Babu unajiri siku chache tu baada ya hakimu wa mahakama Luka Kimaru kusema kuwa Babu kumlipia DJ Evolve bill ya hospitali ni wajibu wake.

“Mshtakiwa ataendelea kugharamia mtibabu ya DJ Evolve kama wajibu wake wa kila siku.

Akiamua kuwa hatalipa bill hiyo ni juu yake na Mungu wake.” Kamaru Aliongea.

Ni video ambayo iliinua hisia mbalimbali na hizi hapa hisia zao;

🤨🤨🤨🤨 Damn u forgave ur self🤨🤨🤨 shit what about the innocent boy u destroyed his life u think he will forgive u huh🤨🤨🤨 ur money 💴 means nothing to him he just wanted to support his family
aguk_idris: There’s nothing more to be asked about this. Let’s pray for the DJ to recover quickly…
nickwesala: Hon Babu Owino breaks his silence on the tragedy that befell our team on 17th January.

God has a reason for everything. He surely will judge based on his own parameters and not people’s vendetta.

chumba_rodgers: The pain the guy, the young hustling boy went through will not go unpunished. Maybe not now but it will definitely.

abade_254: Bro si ukubali tu yaishe mbona chenga mingi…
Je maoni yako kuhusiana na babu  ni yapi?