YouTube yaitoa video chafu ya Timmy T Dat na Rosa Ree, Timmy afunguka

Timmy amefunguka Insta na kuuliza mashabiki wake wanadhani ni ngoma ipi inayochezwa.

Hii ni baada ya cheche nyingi kuhusu video chafu ya Vitamin U.

https://www.instagram.com/p/B4ZQWCGBNQm/

"Which song do you think they are singing to?" Aliposti Timmy

Haya yanajiri huku Rapa Kyki akivamia staa wa kike Rosa Ree kwa maneno makali baada ya kutokea katika video ya Vitamin ya Timmy T Dat.

"Rosa Ree umedhalilisha marapa wa wanawake...Wewe ni kero kwa mamayako...kwa tasnia nzima, kwa Nahreel na Aika Navy Kenzo waliokutoa kwenye tasnia..." Alifoka Kyki

 Aidha, kampuni ya YouTube iliitoa video hii katika akauti ya Timmy.

Vitamin U ni ngoma ya Timmy T Dat aliyomshirikisha Rosa Ree na ilisheheni vipande vyao wakiwa uchi kwenye bomba la maji.

Katika video hiyo dakika 3 na ushei, Timmy T Dat anaoenakana akishika sehemu za siri za mwanadada huyu.

Kitendo cha Timmy cha kufanya video chafu hakijaeleweka freshi kwani staa huyu hajaweza kuzungumzia hilo.

Aidha Timmy amefunguka baada ya ngoma yake kufungiwa na YouTube.

https://www.instagram.com/p/B4XWQEFhTN6/

Katika mtandao wa Insta, Timmy alichapisha ujumbe kwamba video hiyo haipo kwenye YouTube.

Rosa Ree anaonekana kufurahia zaidi na kitendo cha Timmy kushika sehemu zake za siri.