Yvette Obura amjia juu Bahati kisa Mueni kusafiria treni ya SGR

Screenshot_from_2019_12_20_15_21_25__1576844511_61358
Screenshot_from_2019_12_20_15_21_25__1576844511_61358
Yvette Obura amemtaka msanii wa kizazi kipya Bahati amunulia mtoto wake ndege.

Yvette Obura alikuwa mpenzi wa staa huyu na wakapata mtoto (Mueni)

Haya yamejiri baada ya msanii huyu kumtaka mzazi mwenzake Yvette kuweka wazi ni kwani nini alitumia treni ya SGR kuenda mjini Mombasa.

Yvette alimjia juu na kusema kuwa iwapo anahisi kuwa kupanda treni kunashusha hadhi yake, basi amnunulie mtoto wake Mueni ndege ya kusafiria.

"Kwa hivyo Bahati anadhani kuwa binti wake hawezi kupanda treni? Kwa sababu ana hela nyingi basi amnunulie ndege...' Alisema Obura.

Bahati amezaa mtoto Mueni Bahati na Obura,

Katika mahojiano ya jadi, Obura alisimulia jinsi kulea mtoto huyu na Bahati kunakuwa changamoto.

“Co-parenting si rahisi, you know he has wife halafu maybe am in another relationship, alafu unajua kuna zile time hatuwezi pigiana simu ati Mueni anataka hii. Sisi wote ni vichwa ngumu..." Alisimulia Obura.

 “Tunakuwanga na arguments, every now and then the main focus ni Mueni, sisi ni non-foctor. Huko Instagram anaeka picha ya Mueni watu wanauliza kwani haendangi shule, baba yake at ooh mtoto hanafaa kujua English, mi siongeangi English, so mi nilidecide to kucall the Dad so atakuwa anamchukua yeye mwenyewe huko Eastlands anampleka mpaka Runda, labda Mueni atatoka huko na Pizza tutakula pia sisi..."