Yvette Obura na sura mpya, Kero kwa Bahati, Diana marua (+ Picha)

tyzatud9l76ebyn5bbdacb52f6b3
tyzatud9l76ebyn5bbdacb52f6b3
Aliyekuwa mpenzi wa nyota wa muziki Bahati, Yvette Obura anafurahi kuwa baada ya mazoezi ameweza kupunguza uzani wa mwili kwa kiasi kikubwa.

Kupitia mtandao wa Insta, mwanadada huyu amefichua kuwa ameweza kupunguza uzani wa kilo 20.

Ni ukweli kuwa mabinti wengi hawapendi unene wa miili yao.

Mwonekano mpya wake Obura huenda sasa ukamvutia zaidi staa wa muziki wa injili Bahati ambaye kwa sasa yupo kwenye ndoa na Diana Marua.

Soma hadithi nyingine:

Bahati amezaa mtoto Mueni Bahati na Obura,

Katika mahojiano ya jadi, Obura alisimulia jinsi kulea mtoto huyu na Bahati kunakuwa changamoto.

“Co-parenting si rahisi, you know he has wife halafu maybe am in another relationship, alafu unajua kuna zile time hatuwezi pigiana simu ati Mueni anataka hii. Sisi wote ni vichwa ngumu..." Alisimulia Obura.

“Tunakuwanga na arguments, every now and then the main focus ni Mueni, sisi ni non-foctor. Huko Instagram anaeka picha ya Mueni watu wanauliza kwani haendangi shule, baba yake at ooh mtoto hanafaa kujua English, mi siongeangi English, so mi nilidecide to kucall the Dad so atakuwa anamchukua yeye mwenyewe huko Eastlands anampleka mpaka Runda, labda Mueni atatoka huko na Pizza tutakula pia sisi..."

Mwonekano mpya wa mpenzi wa kitambo unaweza ukavuta hisia za  kurudiana tena.

Tazama picha ya Obura.

“WUEE LET’S FLASH IT BACK TO NOVEMBER 2018🙆🙆🙆I WAS 96.6KGS HERE BUT DAMN THOUGH 🤐🤐🤐 I LOVED THIS PICTURE.”

Soma hapa hadithi nyingine;

Hizi ni baadhi ya picha zinazoweza kumfanya Bahati kurudia Mama Mueni,