Ws5k9kpTURBXy85NTc1MDMwNWFlNjhjMTExMzVhNzRjZDE1ODA4Nzk3MS5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB__1571124749_64243

Zari The Boss Lady aifokea Kenya Airways, awaita wezi

Mwanamitindo kutoka nchi jirani ya Uganda na aliyekuwa mpenzi wa Diamond sasa anaikashifu shirika la ndege nchini kwa utepetevu uliopelekea kupoteza kwa marashi yake.

Zari The Boss Lady hana imani tena na shirika hili.

Katika chapisho la Insta, Zari anateta kuwa shirika hili la ndege llihusika katika wizi huu.

Zari anasema kuwa alitumia elfu 244,ooo kuenda Dubai kununua marashi hayo.

Aliyepata alama 428 KCPE afanya kazi ya ‘walking scarecrow’ kwa shamba ya ngano

 “Nimeakasirishwa sana na shirika la Kenya Airways….’

“Marashi yangu niliyonunuliwa kama zawadi na marafiki Dubai yameibiwa yote…” Alifoka Zari

“So disappointed in Kenya Airlines. I’ve been loyal, but you always do me wrong. The other times I’ve ignored, but not today. All my perfumes i received as gifts from my friends in Dubai just disappeared. What am i supposed to wear for my meeting. Let’s not ignore the fact that your flights are always delayed and no explanations is given to passengers, still I ignored. I’ve never been on a KQ flight thats on time. Shame on you. @officialkenyaairways you have my return date better make sure someone finds me in the lounge and return what belongs to me. I didn’t travel for free, you set me back $2440, now i want what’s mine back Periodt! And we will end this relationship in peace.”

Je, Mariam Kighenda alipanga kujitoa uhai? Mmewe John afunguka

 Katika posti hiyo, Zari anaapa kuwa hatawahi kutumia huduma ya shirika hili tena.

 

Photo Credits: Abraham kivuva

Read More:

Comments

comments