In Summary
  • Fred Vunjabei ni zaidi ya ndugu yangu nina mpenzi ambaye nampenda sana hamisa azungumzia uhusiano wake na Fred
Screenshot.from.2019.10.17.16.25.49

Hamisa Mobetto ameweka mamboo wazi kuwa ana mpenzi na wala si Fred Vunjabei, hii ni baada ya uvumi kuenea kuwa wawili hao wamo katika uhusiano wa kimapenzi.

Akiwa kwenye mahojiano, Hamisa alisema kuwa anampenzi ambaye ana mpenda sana na Fred ni ndugu yake wala si mpenzi wake.

"I have a boyfriend. Nina mpenzi ambaye Nampenda sana na sio Vunjabei. Sio mpenzi wangu. Yeye ni bro, yaani mshikaji wangu nikiwa na idea fulani ya biashara ama yeye akiwa anataka staff fulani katika biashara yake ananitafuta. Other than that hakuna uhusiano ni mtu mpoa sana." Hamisa Alisema.

Wiki jana mwanamitindo Hamisa alifichua jinsi alivyo beba mimba  tatu za msanii Diamond huku zikitoka moja baada ya nyingine.

Kwa upande wake Vunjabei alikuwa na haya ya kuzungumzia kuhusu uhusiano wake na Hamisa.

"Watu wanafikiria ni mpenzi wangu. Sio mpenzi wangu. Mimi na yeye hatuna mahusiano. Ni mshikaji wangu mno. Mpaka juzi kati nilikuwa na muuliza mbona ako single, akaniambia anaenjoy Sana kuwa single kuliko kuwa na mahusiano. Anasema akiwa na mahusiano anahisi kama una utetemesha moyo wake. Ame amua kulerax afanye kazi kwanza." Alieleza Vunjabei.

The video could not be loaded.

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺 𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴 𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻 𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻 𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ: 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
View Comments