In Summary
  • Mke wangu anataka kuwa video vixen Bahati asema huku mashabiki wakimuunga mkono
  • ...Umeingia Secular?' Mashabiki wamuuliza Lucy Natasha baada ya kukubali Diana Marua kuwa video vixen
bAHATI 1

Msanii Bahati na mkewe wamekuwa wakizungumziwa sana kwenye mitandao ya kijamii hii ni baada ya wawili hao kupakia picha kwenye mitandao ya kijamii wakiwa maeneo tofauti.

Saa chache zilizopita msanii huyo alipakia picha ya mkewe na kusema kuwa anataka kuwa video vixen katika wimbo wake utakao fuata.

Baadhi ya mashabiki wake walikubali huku wengi wakisema hamna shida kwa maana ni mke wake, miongoni mwa waliokubali ni muhubiri Lucy Natasha huku wengi wakimkosoa kwa jibu lake.

 

"Mke wangu anataka kuwa video vixen kwa video ya kibao changu kijacho, anataka tu ndio 1000, kubalini na kisha tuendelee 

Kama unataka kumuona katika kibao changu andika ndio." Bahati Aliandika.

Lucy Natasha

Ndio mashabiki wengi walikubali ilhali wengi walikuwa wanajibu tu kile Natasha aliandika kwa kukubali huku wengi wakimuuliza kama anaunga mkono nyimbo za secular.

Rev.Lucy Natasha: Ndio

Baada ya kukubali mashabiki walikuwa na haya ya kumwambia.

Goatba: @revlucynatasha madam pia wewe umezama ndani ya secular😂😂😂 you need intercession.'

Mitchel Beib: Because she is your wife and that was a wish let it be granted 🙈.

Kendi: Hehee hadi Lucy Natasha anakubali unadhani ni Jokes 😂.

Moureen Phoe: Ajifunze jerusalem dance kwanza😂😂.

View Comments