In Summary
  • Ni msanii yupi kati ya hawa anapaswa kuacha kazi ya usanii
pjimage (4)

Kwa miaka tumewafahamu na jinsi walivyoanza muziki na safari yao jinsi imekuwa kila mmoja anaifahamu.

Wengine wamewapendeza mashabiki huku wengine wakikejeliwa sana kwa ajili ya tabia na hata mitindo yao ya mavazi na hata kuimba na mashabiki wao.

Katika makala haya tunahitaji tu maoni yako ni mwanamuziki yupinanapaswa kuacha usanii kati ya hawa wanne.

1.Ringtone

Kwa muda msanii huyu ya injili ana fahamika kwakutaka kuvuma kwenye vichwa vya habari, Ringtone alianza vyema na anaendelea vyema ingawaje mashabiki wake wanasema kwamba yeye na ugha ya kizungu ninkama mafuta na maji.

ringtone

2. Willy Paul

Akianza muziki Willy paul alikuwa mpole huku kibao chake cha 'Sitolia kikimfanya afahamike nchiini kote.

Willy Paul

Baada ya muda Willy alitoka katika sekta ya nyimbo za injili na kuanza  kuimba nyimbo za Secular.

3.Stivo Simple Boy

Ni msanii ambaye amezidi kujikakamua katika tasnia ya muziki licha ya wengi kumkosoa kwa wingi.

Stevo-simple-boy-
 

4.Bahati

Bahati amejulikana kwa muda tanggu atoe kibao chake cha 'mama na machozi' msanii huyo amejikakamua awezavyo huku mapema mwaka huu akienda katika uoande wa secular na kusema kuwa tasnia ya nyimbo za injili haina upendo kamwe.

Licha ya wasanii hao kujikakamua na kuwatumbuiza mashabiki wao je unahisi ni yupi anapaswa kijitenga na hii sekta?

 

Bahati 3
View Comments