In Summary
  • Mashabiki wamshukuru mwanasiasa Alinur kwa kumsaidia omosh
  • Mwanasiasa huyoo alisema kwamba atazidi kusaidia watu ambao wanashida iwapo na uwezo huo
Joseph Kinuthia
Image: Ivy Muthoni

Muigizaji Joseph Kinuthia almaarufu Omosh amekuwa akivua kwa muda sasa huku wakenya wakijitokeza na kumsaidia.

Mwanasiasa Alinur hii leo alimpelekea Omosh chakula na pesa na kusema kwamba ametimiza ahadi yake.

Mwanasiasa huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alisema kwamba atazidi kusaidia watu ambao wana shida kama ana uwezo.

Β 
Β 

"Leo nimeheshimu ahadi yangu ya kusimama na Omosh wa Tahidi High kwa kuchukua vitu vyema vya shillingi 50,000 na Fedha 60,000 kwake. Alifurahi sana.

Ninaamini katika kusaidia wengine wakati wa nyakati ngumu. Nitaendelea kutoa msaada wangu kwa mtu yeyote wakati wowote nitakapokuwa na uwezo wa kufanya hivyo." Aliandika mwanasiasa huyo.

Kupitia kwenye ukurasa wake Omosh wa instagram alimshukuru mwanasiasa huyo kwa kumsaidia wakati huu mgumu.

Hizi happa baadhi ya hisia za wanamitandao wakimpongeza Alinur kwa kazi yake nzuri.

mtunecessary: Ubarikiwe sana kaka

finesse_ngara_: Keep up with the good heart

vicnyota: Much blessings to youπŸ‘

Β 
Β 

mimoh_pretty: May God bless you so much😍

dallaofficial: Keep helping where you can mhesh πŸ‘ God bless you πŸ™Œ

winfaithofficial: God bless you much more.

erizzy_: Bazuuu Mungu ni mkuuπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

starkid_bright: Bless you Hon. πŸ™ŒπŸ™Œ

ray_moh_: Inshallah allah blessπŸ™πŸ™πŸ™

View Comments