In Summary
  • Mammito awachekesha mashabiki kwa kusema haya kuhusu Wema Sepetu, Hamisa Mobetto na Vera Sidika
  • Awali amekuwa akiwachekeshaji mashabiki wake kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram
mammito

Wiki iliyopita mchekeshaji Eunice Mammito alisafiri nchi Jirani Tanzania ka ajili ya kazi yake, Mammito alifahamika sana kupitia katika kipindi cha Churchill.

Awali amekuwa akiwachekeshaji mashabiki wake kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram.

Huku akiwa jukwaani Tanzania akiwachekesha mashabiki aliwakejeli Vera Sidika, Hamisa Mobetto na Wema Sepetu kwa ajili ya makalio yao.

Baadhi ya mashabiki walimwambia Mammito kwamba alienda kuwasha moto akiwa kwa wenyewe huku wengi wakimpongeza.

Katika video aliyopakia kwenye ukurasa wake wa instagram alikuwa na haya ya kusema;

"Kuna makalio, kalio, na kuna kilio unajua Vera Sidika ana makalio mimi nina kilio, lakini MUngu ni mkuu

Wema sepetu alikuwa na makalio akafanya mambo zake ana kilio akiendelea hivi ata kuwa na duru

Hamisa Mobetto ukimuona moja kwa moja ana kalio lakini kwenye picha ana makalio," Alisema Mammito.

Hizi hapa baadhi ya isia za mashabiki;

hightofficial254:πŸ”₯πŸ”₯mamito chunga usirudi na mimba ya diamondπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’”πŸ’”

ericomondi: Iko sawaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sandra_dacha: It's the "nduru" for meπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

nycewanjeri: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio hiyo😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 go girl

djshiti_comedian: Africa's Queeeeeeeen of ComedyπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

kendi_ke: Everyone is just choosing violence. 🀣🀣

Je Mammito ni Malkia wa wacheshi afrika nzima?

Hii hpa video hiyo;

Β 

Β 

View Comments