In Summary
  • Mama wa mtoto wake msanii Bahati, Yvette Obura kwa mara ya kwanza amemtumia msanii huyo onyo baada ya kutoa kibao chake cha 'Dear Ex'

Mama wa mtoto wake msanii Bahati, Yvette Obura kwa mara ya kwanza amemtumia msanii huyo onyo baada ya kutoa kibao chake cha 'Dear Ex'.

Ni kibao ambacho baadhi ya watu wamezungumzia kuhusu waliokuwa wapenzi wao.

Kibao hicho kimepokelewa na mashabiki vyema huku kikiwa na watazamaji karibu laki moja kwa saa tatu baada ya kutolewa.

Lakini kama sio Yvette anazungumziwa nani mwingine kwa maana tunamjua tu kama ex wa msanii huyo.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Yvette wa instagram alikuwa na haya ya kusema;

"Bora nisitajwe hapa πŸ€”πŸ€”,"

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki baada ya Mama Mueni kuonya baba wa mtoto wake;

w.peshy: Hehe tunajua umelipwa vizuri

chege3055: Ex ni mtu ujazaa na yy ❀️❀️

millieasiema: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mbona naona ikiwa dedix

stelaouma: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ahahaaaa wambie uko salama ugali na mrenda ndio zinaangamia😍

hellenswa: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wasitulete nyenye we are the Obura's familyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘

Hii hapa video ya kiao hicho;

The video could not be loaded.

EASTLANDS MOST BELOVED!!! BAHATI KENYA PRESENTS SONG : DEAR EX... AUDIO : MESESI | EMB | TEDDY B VIDEO : NEZZOH MONTANA WRITTEN BY KEVIN BAHATI ALL RIGHTS RESERVED | EMB ENTERTAINMENT!!! Digital Distribution & Promotion: Ziiki Media #Dear Ex #Bahati #EMB
Β 
View Comments