In Summary
  • Aliyekuwa mkewe mwanahabari Willis Raburu, Marya Prude ameweka wazi kwamba hana hofu yoyote katika maisha yake

Aliyekuwa mkewe mwanahabari Willis Raburu, Marya Prude ameweka wazi kwamba hana hofu yoyote katika maisha yake.

Kupitia kwenye sekta ya maswali na majibu kwenye mitandao ya kijamii ya instagram Marya pia aliweka wazi kwamba hajui ni lini ata pata mtoto mwingine.

Hii no baada ya mmoja wa mashabiki wake kumuuliza ni lini amepanga kupata mtoto mwingine.

 

Marya alisema kwamba pia walipena talaka rasmi na alaiyekuw mumewe.

"Umepanga lini kupata mtoto mwingine?" Aliuliza shabiki.

Labda sitawahi, sijui," Alijibu Maryaprude.

Kila mtu huwa na hofu maishani mwake lakini Marya alisema kwamba hana hofu yoyote maishani mwake.

"Ni hofu gani kubwa katika maisha yako,"

"Sina hofu yoyote maishani mwangu,"

PIa alisema kwamba hatafuti mpenzi kwa sasa.

Marya alivua sana kwenye mitandao baada ya kuachana na mwanahabari Willis Raburu mwaka jana.

View Comments