Orodha ya vibao vipya vilivyotolewa wiki hii na vinavuma kwenye youtube
- Orodha ya vibao vipya vilivyotolewa wiki hii na vinavuma kwenye youtube
Licha ya maneneo ya burudani kufungwa ili kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona, baadhi ya wasanii hawajawaacha mashabiki wao waae bila ya kusikia sauti zao.
Kuna baadhi ya wasanii wamehakikisha kwamba wamewaburudisha mashabiki wao kupitia nyimbo mpya.
Ukisikiza kibao kipya unahisi vyema na kupunguza mawazo. katika makala haya tutazingatia vibao ambavyo vimetolewa wiki hii na vinavuma kwenye youtube.
1. Khaligraph Jones x The Industry (Luku)
Ni kibao ambacho rappa Khaligraph amewashirikisha baadhi ya wasanii wa huu nchini, ambacho kina maanisha kuvalia vyema.
The video could not be loaded.
2.Vivian na Prezzo (uko tu sawa)
Msanii Vivian alishirikiana na rappa Prezzo na kutoa kibao ambacho kina maana kuwa hupaswi kucheka leo ya mtu kwani hujui kesho yake.
The video could not be loaded.
3.Willy Paul na Miss P(Mashallah)
Ni kabao ambaho kinaongelelea wapenzi wawili ambao wanamuomba Mungu kila jambo liwe sawa katika safari yao ya mapenzi
The video could not be loaded.
4. Otile Brown na Kizz Daniel(Baby go)
Msanii Otile alimshirikisha msanii kutoka Nigeria katika kibao chake ambacho mwanamume ana mwambia mpenzi wake hasitie shaka kwani ana mpenda na hapendi mwanamke mwingine.
The video could not be loaded.