Orodha ya wasanii wa kenya ambao wamefanya collabo na msanii Rose Muhando
- Orodha ya wasanii wa kenya ambao wamefanya collabo na msanii Rose Muhando
- Msanii wa nyimbo za injili Rose Muhando ni miongoni mabingwa wa nyimbo za injili kutoka zama za kale
Msanii wa nyimbo za injili Rose Muhando ni miongoni mabingwa wa nyimbo za injili kutoka zama za kale.
Rose anafahamika sana kupitia kwa nyimbo zake zilizopendwa na mashabiki wake na wanamitandao.
Pia ni miongoni mwa wasanii ambao wamefanya collabo nyingi na wasanii tofauti wa nyimbo za injili.
Katika makala haya tutazingatia wasanii wakenya ambao wamefanya collabo na msanii huyo.
1.Betty Bayo
Ni msanii wa nyimbo za injili ambaye anafahamika sana, wiki jana walifanya collabo na msanii Rose Muhando, katika kibao kinachofahamika kama 'unamuwinda nani'.
The video could not be loaded.
2.Ringtone
Huwa anajiita mwenyekiti wa burudani ya nyimbo za injili, lifanya collabo na rose muhando katika kibao amcho kinafahamika 'walionicheka' mwaka mmoja uliopita.
The video could not be loaded.
3.Size 8
Licha ya janga la corona kuenea sana nchini, wawili hao walishikana na kutoa kibao chao ambacho kilipendwa na mashabiki wao.
Kibao hivho kinafahamika kama 'Vice Versa'.
The video could not be loaded.
4. Anastacia Mukabwa
Ni msanii kutoka kaunti ya Kakamega ambaye alikuwa msanii kutoka Kenya kufanya collabo na msanii Muhando.
Wameimba nyimbo pamoja kama vile kiatu kivue miongoni mwa vibao vingine.
The video could not be loaded.