In Summary
  • Umewahi kaa maisha ya mseja yaani kwa lugha ya kimombo 'single' na maisha hayo yalikuwa aje kwako
  • Kuna baadhi ya watu ambao wanatamani kuishi maisha ya mseja baada ya kupitia changamoto nyingi katika uhusiano wa kimapenzi
  • Kuna manufaa ya kuwa single na pia kuna changamoto zake
Akothee
Image: Instagram

Umewahi kaa maisha ya mseja yaani kwa lugha ya kimombo 'single' na maisha hayo yalikuwa aje kwako.

Kuna baadhi ya watu ambao wanatamani kuishi maisha ya mseja baada ya kupitia changamoto nyingi katika uhusiano wa kimapenzi.

Kuna manufaa ya kuwa single na pia kuna changamoto zake.

Msanii na mwanabiashara Akothee amefichua kwanini kuwa mseja ni tamu katika maisha ya kila mtu.

"Kuwa mseja na mabadiliko ya mfukoni ni tamu 🤣🤣🤣, unaweza kuamka, fanya chochote uende popote kurudi nyumbani na usijibu maswali yoyote kwa mtu yeyote. Kuwa single hukupiga tu usiku 🤣🤣🤣🤣 Kama ooh shit, mimi niko peke yangu kitandani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Lakini si ni maisha," Aliandika Akothee.

Haya hapa baadhi ya maoni ya mashabiki;

njokinjiru: Even at night it hit when u are awake...ukilala imeisha 😂😂😂😂 c ni life

_seba_stian_: Just underline word hits you at night😂😂😂

k9490178: We never see u treding in Tea master page hard to get your receipt and nudes😂😂😂😂😂😂😂😂

night.alice: Feeling the same..it alot of freedom and space enough to hustle...it's only boring at night...but with a nice movies it's more cool at night

View Comments