In Summary
  • Mashabiki wamkaribisha Rayvanny baada ya kutangaza kuja kenya
rayvanny

Msanii wa bongo kutoka Tanzania ni miongoni mwa wasanii ambao, safari yao ya usanii inafahaika sana, na hata mwenye wafuasi wengi mitandaoni.

Mkurugenzi wa lebo ya muziki ya Next Level Music, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alitangaza kwamba anakuja kenya kuwatumbuiza wakenya mwezi wa Oktoba.

Kwa sasa mashabiki wake wanahesabu tu vidole huku wakimsubiria kwa hamu kwani wanampenda.

Baadhi ya mashabiki wake walimtumia jumbe za kumkaribisha nchini baada ya kutangaza hayo.

Ni hafla ambayo itakayo fanyika tarehe 9, Oktoba,2021, kaunti ya Eldoret, eneo la Eldoret sports Club.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;

iam_akujumbosso: @rayvanny welcome home

cuttie__joy: Imma save the date😍😍😍❤️🔥🔥🔥🔥

vannykhany: Moto jmn Kaz km zote zpo mikononi htr 🔥🔥🔥 wanakasirrika😂😂😂😂

muminmohhamed: What ???? My home town 🔥🔥🔥 eagerly waiting much❤️❤️❤️ vanny boy from Eldoret

dylanmyles120: Kwani chui😂,wanataka wakuulie kwa stage nn mbona kama wapo live na maisha😂

fridahwangwe: 🔥🔥🔥ukuje na paullah...🤪🤪

 

View Comments