In Summary
  • Willy Paul aorodhesha wasanii bora na wenye maudhui mazuri nchini
Pozze 1

Msanii wa Kenya Willy Paul, hivi karibuni ameibuka na orodha ya wasanii karibu kumi ambao alidhani wanauwezo wa kutoa maudhui mazuri.

Willy Paul amezungumza kabla ya uzinduzi wa albamu yake mpya. Kulingana na Wiily Paul, mtu yeyote aliyesema wasanii wa Kenya wanakosa maudhui anapaswa kujionea haya

Kwa hivyo, alifichua kuwa albamu mpya kabisa ambayo alikuwa anayofanyia kazi kwa sasa  itakuwa nzuri sana kwamba watu wengine watalazimika kuvua nguo zao kwa sababu ya msisimko wa muziki .

Wasanii alioorodhesha ni pamoja na;@bienaimesol@realshinski@nikita_kering@khaligraph_jones@officialmasauti_@otilebrown@arrowbwoy@bensoulmusic@h_arttheband@mejjagenge@nadia_mukami

"Niskie taka taka ikisema ati Kenya hakuna content na talent... nakuambia hii album nayo itafanya wanaume na wanawake wavue ma nini....Big up to all the artists that are doing good music.NOTE: izi jina ni za wasani wanafanya mziki poa na sio wenye wako kwa album

Kama hauko hapa usijali punguza tu hasira na ufanye kazi," Aiandika Willy Paul.

 

 

View Comments