Nimekuwa nikiwachumbia wanaume ambao wameoa-Muigizaji Silprosa akiri
- Sandra Dacha afichua jinsi amekuwa akiwachumbia wanaume ambao wameoa
Muigizaji Sandra Dacha maarufu Silprosa kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amekiri kwamba amekuwa akiwachumbia wanaume ambao wameoa.
Pia aliweka wazi kwamba wanaume ambao hawana wapenzi au wanawataka wapenzi hawajakuwa wakimchumbia.
Sandra alifahamika sana kupitia kipindi cha Auntie Boss, kilichokuwa kina peperushwa kwenye runinga ya NTV.
Muigizaji huyo amekuwa akijiita 'The bid Machine' kutokana na unene wake na kujipenda jinsi alivyo.
Ni kawaida kwa watu wanene kupokea kejeli kutoka kwa mashabiki na wanamitandao lakini Sandra hajakuwa akitilia maanani kejeli za mashabiki.
"Nimeuwa nikiwachumbia wanaume ambao wameoa, wanaume ambao wako 'single' hawajakuwa wakiniuliza uchumba, ama huwa hawachumbii mashine kubwa," Aliuliza Sandra.
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;
aggie_the_dance_queen: Umechoose vayolense na truth ukamuacha naked?๐๐๐
weezdom254: Dawa ya balloon Ni sindano๐
his_melanin_highness: ๐ฅeyyy wewe big machines are the best๐ฅ๐ฅ๐๐
emmaculatefrancis: wanaogopa๐๐๐
ย
ย