In Summary
  • Mchekeshaji maarufu nchini YY na mpenzi wake Marya, wamebarikiwa na mtoto wao wa kwanza, hii ni kulingana na taarifa zinazoenea mitandaoni

Mchekeshaji maarufu nchini YY na mpenzi wake Marya, wamebarikiwa na mtoto wao wa kwanza, hii ni kulingana na taarifa zinazoenea mitandaoni.

YY alifahamika sana kupitia kwenye kipinchi cha Churchill, na ni mwenye bidii katika kazi yake.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram YY alipakia picha nzuri sana akiwa na mpenzi wake na kuandika kwamba ni wakati wa kipekee kwake.

Mashabiki walituma jumbe za kuwapongeza wawili hao na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

eddiebutita: CONGRATULATIONS 👏Challenge accepted😂😂

iam_carolyne12: Yani mnatuletea tu results kama matangazo ya kcse😂😂😂anywei congratulations

morgan_kiplimo: You've been busy bro. Congratulations lakini wewe coronaaa!! Ati work from home and YY literally took it personal😂

rachaelrjuune: Congratulations guys

View Comments