In Summary
  • Waunda maudhui Kabi Wajesus na Milly Wajesus ni wanandoa ambao wanafutaha baada ya kumkaribisha mtoto wao wa pili

Waunda maudhui Kabi Wajesus na Milly Wajesus ni wanandoa ambao wanafutaha baada ya kumkaribisha mtoto wao wa pili.

Kupitia kwenye ukurasa wa Milly Wajesus wa instagram alimshukuru Mungu kwa kumsaidia kwenye safari yake ya ujauzito na kumkaribisha mwanawe ulimwenguni.

Mashabiki walichukua fursa hiyo na kuwapongeza wanandoa hao wawili.

d.arrrlin:Milly congratulations mamaa❤️❤️❤️

lyokelloCongratulations God bless her and your family

mart.in_muthuri: Congratulations my Guy😍😍😍🔥🔥 I'm super excited!

vickiemhumble@nash.cee:  😂😂😂😂😂 aki WA Jesus kweli mkona maneno

sallieklaus_01: Congratulations family Kabi 👏❤️

nyar_jimba_gama: Amen may God always be upon your family...welcome princess❤️

ngonyoanna: Congratulations my Favourite family😍

nash.cee@vickiem: humble ata mimi nimejiuliza...no resting😂😂

View Comments