Ni mrembo!Pascal Tokodi na mkewe wapakia picha ya mwanao kwa mara ya kwanza
Mashabiki hawakuficha furaha kwani walimsifia mwanawe Pascall na Grace kwa urembo wa kipekee.
- Pascal Tokodi na mkewe wapakia picha ya mwanao kwa mara ya kwanza
Aliyekuwa mwigizaji wa kipindi cha Selina kilichokuwa kinapeperushwa kwenye runinga ya Maisha Magic East Pascal Tokodi na mkewe mtangazaji Grace Ekirapa wamepakia picha ya mtoto wao mitandaoni kwa mara ya kwanza.
Wawili hao walibarikiwa na mtoto wa kike mwaka huu.
Huku akipakia picha ya mtoto wake Pacal aliandika ujube mfupi uliosoma;
"Nataka kumtambulisha mtoto wetu kwenu,mikono yake iliiba moyo wangu, na kisha miguu yake ikakimbia nayo," Aliandika.
Mashabiki hawakuficha furaha kwani walimsifia mwanawe Pascall na Grace kwa urembo wa kipekee.
Hizi hapa baadhi ya ujumbe zao;
malkiakaren: ❤️❤️shooo shweeettt
amelbait: Finally we get to meet the pretty girl AJ she is so Adorable😍
milly.njesh: Finally baby AJ,🥰🥰🥰 she's so cute 🥰🥰🥰
ashambusiroo: Very beautiful may God be with her always 🥰😘
wacekemwaura: Sooo cute , wow like father & mother like daughter
mwanamvuli :Yaa Pascal (Nelson)Your baby girl is so cute🔥🔥Congratulations from+255
amelbait: Finally we get to meet the pretty girl AJ she is so Adorable😍