In Summary
  • Mama huyo wa watoto 3 sasa ameweka wazi kwamba alijifungua tarehe 1/Novemba  saa nne na dakika hamsini na mbili asubuhi
Mwanavlogu Diana Marua akiwa hospitalini tayari kujifungua mtoto wake wa tatu.
Image: INSTAGRAM// BAHATI

Mkewe msanii Bahati,Diana Marua hatimaye amejifungua.Diana alitangaza habari hzo njema kwa mashabiki kupitia ukurasa wake wa instagram.

Msanii huyo amefichua kwamba mwanawe anaitwa Malaika Bahati.

Mama huyo wa watoto 3 sasa ameweka wazi kwamba alijifungua tarehe 1/Novemba  saa nne na dakika hamsini na mbili asubuhi.

Pia amesema kwamba alimzaa mwanawe akiwa na kilo 3.5.

Mashabiki na wanamitandao walichukua fursa hiyo na kumpongeza msanii huyo, na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

millychebby: Congratulations D

queenveebosset: Congratulations sugar 😍❤️🙌

irenenekesa31: Congratulations @diana_marua my boss ❤️❤️❤️❤️❤️

tracy_sellah: Welcome on board malaika😍😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥

much.iranyawira: Uuuuuuuuuiiii our princess is here😍😍😍😍Congratulations loveeeeee😍😍😍

_ceejay_the_bosslady:Wow welcome Home Kababy❣️❣️Angel Bahati💃✨✨🙌💫💫💫💫

View Comments