logo

NOW ON AIR

Listen in Live

"The Murayas" Kurejea Skrini

<ul> <li> Mtangazaji wa Tv, awali aliomba umma msaada wa kuweza kukusanya fedha kwa gharama zake za matibabu.</li> </ul>

image
na Davis Ojiambo

Burudani07 February 2024 - 08:51

Muhtasari


  •  Mtangazaji wa Tv, awali aliomba umma msaada wa kuweza kukusanya fedha kwa gharama zake za matibabu.

Wanandoa size 8 na Dj Mo wanao julikana kama “The Murayas” wanarudi kwa skrini na kusisimua kipindi chao ambayo itakua inaonyeshwa kwenye TV47 siku ya Jumapili saa mbili usiku.

Tangazo hilo lili fuatwa na furaha wakati  “The Murayas” walipeleka jambo hilo la furaha katika mitandao ya kijamii kupitia klipu fupi ya kuvutia. 

I wanted to tell you the good news, Mungu ametenda nakuambia, Yes, We are supposed to announce it tomorrow at 11, Tuesday”. 

Katika trela ya kipindi hiyo, tunaona pia  Dj. Krowbar na bibiye ambao wamekua na changamoto zao binafsi. 

Wanjiru Karumba, mkewe wa Dj. Krowbar ambaye mwaka jana ambaye alipigana kwa ujasiri kushindwa kwa figo.

Mtangazaji wa Tv, awali aliomba umma msaada wa kuweza kukusanya fedha kwa gharama zake za matibabu.

Kipindi hiyo inaitwa “ Love in The Wild”, itaanza Jumapili tarehe 11 Februari saa mbili usiku, Tv47.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved