In Summary
  • katika eulogy, mamake Charlie aliandika barua ya kihisia kwa mtoto wake akimkumbuka na kumbukumbu zote nzuri walizoshiriki.
Charlie Ouda

Mamake mwigizaji mashuhuri marehemu Charles Ouda , Yunia, ametoa pongezi za dhati kwa mtoto wake kabla ya kuchomwa kwake leo februari 15.

katika eulogy, mamake Charlie aliandika barua ya kihisia kwa mtoto wake akimkumbuka na kumbukumbu zote nzuri walizoshiriki.

"Dear Charlie:

I said God's decisiona are above ours. It's still hard to believe that He has taken you away from me baba. I'm so proud to have watched you grow into a great and lively lovable man.

I'm grateful for all the memories (being my long-time barber) , random calls when you were at work,  "mum are you okay??, Mum what do you want me to buy for you?" 

I will dearly miss your spicy chickens that you made for me. No one else will ever know the strength of my love for you Charlie.

Charlie rest well. I love you soo much and you will always be in my heart.

Bye Bye baba!!

From your loving mum,

Yunia."

(Mpendwa Charlie:

Nilisema uamuzi wa Mungu uko juu yetu. Bado ni ngumu kuamini kuwa amekuondoa kwangu baba. Ninajivunia kukuona ukikua na kuwa mwanamume mzuri na mwenye kupendeza. Ninashukuru kwa kumbukumbu zote (kuwa kinyozi wangu wa muda mrefu), simu zisizo na mpangilio ulipokuwa kazini,  "mama uko sawa?? , mama unataka nikununulie nini?" Nitawakumbuka sana kuku wako wa viungo ulionitengenezea. Hakuna mtu mwingine atakayejua nguvu ya upendo wangu kwako Charlie. Charlie pumzika vyema. I love you soo much and you will always be in my heart.

Bye Bye baba!! Kutoka kwa mamako mpendwa)

Mwigizaji Charles Ouda alikufa usiku wa Februari 3, 2024. Alikuwa alikuwa na miaka 38 wakati alikufa.

Mnamo Februari 14 2024, kesha wa usiku ulifanyika katika ukumbi wa michezo wa kitaifa wa Kenya kwa heshima ya marehmu Charles Ouda.

View Comments