Msanii wa Mugithi Samidoh, kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram kwa mara ya kwanza amemtambulisha mwanawe wa 3 kwa mashabiki.
Samidoh na mkewe Edday walibarikiwa na mtoto wao wa tatu mapema mwezi huu.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Samidoh alipakia picha ya mwanawe wa pili akiwa amempakata mwanawe wa 3 na kuandika ujumbe huu;
"Majukumu ya ndugu mkubwa," Aliandika.
Mashabiki walimpongeza msanii huyo, huku wakisifia sifa urembo wa mwanawe, hii hapa baadhi ya jumbe zao;
wanji_mugo2: Haka kamekaa mama yake mashavu๐๐๐
gracekiiru51: You make beautiful babes ๐ฅ๐๐
gloriah__gich: Eish my ovaries are twerking!๐samidoh nataka mbegu tu๐๐sasa mbegu ni kitu ya kunyima mtu surely?
marymaina02: Mbegú grade 1, mbegú ndímanagwo tuhe ๐
collectionskatrina: Khai...Yaani kumbe unaweza toa kitu Kali hivo๐๐๐๐
wanjiku_ngigi: Samindo uhoro waku ?? Si unipee mimba pia au nikulipe as sperm donor nataka kama haka
moses7789: Congrats samidoh, atleast kijana ako na makai si kama wewe unakaa upanga๐๐