logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wema Sepetu aomba ushauri kwa mchungaji kwa kudai kukosewa na mamake

Wema amesimulia  kukekwa na mamake  hadharani mbele ya mpenzie

image
na Davis Ojiambo

Burudani11 October 2023 - 09:35

Muhtasari


  • •Wasichana wa siku hizi hawana heshima mimi mamake mzazi sijafuraishwa jinsi ambavyo wema amechukua hatua ya kumtabulisha mpenziwe hadharani siku hii yake muhimu , wakati ambapo akuchukua jukumu la kumleta nyumbani ili kuwaeleza wazazi

Mwigizaji  wa filamu za Bongo  mwenye uzoefu Wema Abraham Sepetu amefunguka siku chache baada ya kuandaa sherehe ya kifahari kusherekea kuzaliwa kwake  kwa kile alichodai kukerwa na maneno makali kutoka kwa mamake mzazi.

 Wema hakuficha furaha yake wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa baadaa ya waingizaji na wasanii maarufu kumtembelea,Sherehe hii na ambayo ilifanyika nyumbani kwake ilihudhuriwa na wasanii wengi akiwemo Hamisa Mobbeto,Nandy,na Ruby.

Ilha kwa sasa muingizaji huyu amejitokeza hadharani na kusimulia jinsi aliudhika na maneno ya kutamaushwa aliyosema kwa ukali mamake mbele ya wageni wake jambo ambalo amelitaja kukosewa heshima na alingefaa kufaywa kwa siku hio muhimu kwake.

Mamake mzazi alisimulia kwa machungu kuhusu mapenzi ya wema akiyatanja kutoelezwa wazi licha ya kuwepo akilitanja jambo hilo kumukosea heshima huku akitaja nguo alizovaa  wema kutokuwa na heshima na maandili ayomfuza.

"Wasichana wa siku hizi hawana heshima mimi mamake mzazi sijafuraishwa jinsi ambavyo wema amechukua hatua ya kumtabulisha mpenziwe hadharani siku hii yake muhimu , wakati ambapo akuchukua jukumu la kumleta nyumbani ili kuwaeleza wazazi" alisema .

Wema kupita kituo kimoja cha Radio nchini Tanzania alisimulia jambo hilo kama chuki kutoka kwa mamake mzazi huku wakimualika mchungaji mmoja kuwaeleza wazi kutokana na jambo hilo.

"Sikufurahia jinsi mamangu alinikereresha mbele ya umma naomba mchungaji unielimishe nipate wazi kuelewa alishomaanisha mama ".alisema Wema.

Mchungaji huyu alimuomba wema kuchukulia maneno haya kwa urahisi na kukumbali kurekembishwa na mama kwani baraka za ndoa upatikana kwa mungu na wazazi.

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved