Waakilishi wa kaunti wanataka sheria kurekebishwa ili wamepewe walinzi waliojihami. Kupitia kwa  mwenyekiti wa muungano wao Abdi Nuh, viongozi hao wanadai kwamba kazi yao inawafanya kuhitaji ulinzi kutoka kwa serikali. Kwa sasa sheria haiwaruhusu waakilishi hao wa kaunti kubeba bastola au kuwa na walinzi.
View Comments