Moja wapo ya majumba katika chuo kikuu cha Nairobi. | image source: the-star.co.ke

Polisi wanachunguza mauaji ya kutatanisha ya wanafunzi wawili wa chuo kikuu cha Nairobi mwishoni mwa wiki uliyopita.

Julius Omondi mwenye umri wa miaka 22 na rafiki yake Mohamed Yusuf walipoteza maisha yao baada ya kushambuliwa na genge moja katika hali isiojulikana.

View Comments