Picha kwa hisani ya: dailymail.co.uk

Kamanda mpya wa CID aliyehamishwa kwenda garissa Boniface mwaniki amedinda kuhamia kituo chake kipya na kuamua kustaafu kwa ajili ya ukosefu wa usalama katika kaunti hiyo.

Mwaniki amemwarifu mkuu wake Ndegwa muhoro kuhusu uamuzi huo wake akisema usalama wake umo hatarini kwani amewahi kuhudumu huko kama mkuu wa kitengo cha polisi wa kukabiliana na ugaidi.

View Comments