21 August 2015 1 Min Read
NACADA kutoa orodha ya bidhaa zinazotengenezwa kutumia bangi
by Brian Ndungu Habari
Shirika la kupambana na dawa za kulevya NACADA litachapisha majina ya biskuti, perembende na vitafunio vingine vilivyo na bangi.
Mwenyekiti wa shirika hilo John Mututho amesema wanaotengeza bidhaa hizo wakitumia bangi watashtakiwa.