29 October 2015 1 Min Read
Wabunge wataka wake zao kupewa paspoti za kidiplomasia
by Brian Ndungu Habari
Picha kwa hisani ya: jamaicatakeout.com
Wabunge sasa wanaitaka serikali kuwapa wake zao paspoti maalum za kidiplomasia. Kupitia mswada tume ya watumishi wa bunge, uliowasilishwa na mbunge wa Eldas Adan Keynan.
Wabunge pia wanataka kuundwa kwa kikosi maalum cha polisi cha kuwapa ulinzi wakiwa bungeni na kuanzishwa kwa Chuo maalum cha mafunzo kwa wabunge na wafanyikazi wengine wa bunge.